1 Kings 8:53
53
Kwa maana uliwachagua wao kutoka mataifa yote ya ulimwengu kuwa urithi wako mwenyewe, kama ulivyotangaza kupitia mtumishi wako Mose wakati wewe, Ee
Bwana
Mwenyezi, ulipowatoa baba zetu kutoka Misri.”
Copyright information for
SwhNEN